Imewekwa Tarehe: October 18th, 2021
Kaimu Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe Bwana Polycarp Ntapanya ameomba viongozi wa Dini pamoja na wale wa Mila katika wilaya ya Rungwe kuendelea kuwa mstari wa mbele kutoa hamasa kwa j...
Imewekwa Tarehe: October 15th, 2021
Mkuu wa Wilaya ya Rungwe Dkt Vicent Anney ametembelea shule ya Msingi Igogwe iliyopo kata ya Kinyala na Kuzungumza na wanafunzi wa shule hiyo.
Mhe. Dkt Anney ameagiza wanafunzi wote katika Wilaya y...
Imewekwa Tarehe: October 12th, 2021
Nchi ya Malawi imeendelea kutumia Reli ya TAZARA ikiwa ni njia pekee ya kusafirisha mizigo ya nchi hiyo sambamba na kupunguza uharibifu wa barabara kwa kupakia mizigo inayozidi uwezo.
Rai hiyo imet...