Imewekwa Tarehe: April 21st, 2021
Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Rungwe Mhe. Mpokigwa Mwankuga amekagua ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa katika shule ya msingi kapugi kata ya Malindo ambapo pamoja na mambo mengine ameagiza...
Imewekwa Tarehe: March 31st, 2021
Jumla ya vikundi 32 vya Wanawake, vijana na Watu wenye Ulemavu vimenufaika leo tarehe 31.03.2021 na mkopo wa shilingi million 250 kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe ikiwa ni asilimia 10% ya mapato...
Imewekwa Tarehe: March 8th, 2021
Maadhimisho ya siku ya mwanamke duniani yamefanyika leo tarehe 8/03/2021 ambapo katika halmashauri ya wilaya ya Rungwe yameadhimishwa katika ukumbi wa halmashauri - Mwankenja.
Mheshimiwa Lyd...