Imewekwa Tarehe: September 11th, 2022
Mwenge wa Uhuru umezindua Mradi wa maji Mpandapanda uliopo Kijiji Cha Ilolo kata ya Kiwira huku wananchi wakiagizwa kuutunza vizuri sambamba na kulipa ada ya kila mwezi ili kuujengea uwezo wa kuwa end...
Imewekwa Tarehe: September 9th, 2022
TOZO KWA MAENDELEO
Kupitia TOZO ya miamala ya simu, Serikali imetoa jumla ya shilingi Million 12.5 kwa ajili ya ukamilishaji wa chumba Cha darasa katika shule ya Sekondari Ndembela one ili...
Imewekwa Tarehe: September 7th, 2022
Mbio za mwenge wa uhuru zinatarajia kuanza katika Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe siku ya jumamosi tarehe 10.9.2022 ambapo Mwenge utapokelewa katika kiwanja Cha mpira wa miguu shule ya msi...