Imewekwa Tarehe: March 13th, 2024
Katibu Tawala Wilaya ya Rungwe Bwana Ally Said Kiumwa amewakumbusha Wazazi kuendelea kuchangia chakula cha Mchana kwa Wanafunzi wa Shule za Msingi na Sekondari ikiwa ni mbinu sahihi ya kuondoa udumavu...
Imewekwa Tarehe: March 7th, 2024
"Askali Wanawake Kwa miaka mingi Mfululizo wameendelea kuhakikisha haki za wanawake zinalindwa na kudumishwa katika nyanja zote ili kudumisha sambamba na kuboresha ustawi wa Jamii katika jamii.
...
Imewekwa Tarehe: March 5th, 2024
==WAMEMALIZA MKOPO==
Kikundi cha Wanawake MUUJIZA kilichopo Katumba kimemaliza mkopo wake wa ununuzi wa basi.
Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe ilitoa kiasi cha shilingi Millioni 25 kwa k...