• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Rungwe District Council
Rungwe District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa naSerikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Uchumi na Takwimu
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, U mwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Usafishaji na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Tehama na Mahusiano
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Utunzaji Nyuki
  • Uwekezaji
    • Uzalishaji wa Maziwa
    • Kiwanda Cha Matunda
    • Vivutio vya Uwekezaji
  • Huduma
    • Maji
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Ardhi na Maliasili
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba
      • Mikutano ya Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu za Maombi
    • Katiba Pendekezwa
    • Mihutasari
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
    • Matukio
    • Habari
    • Makala

Elimu Msingi

MAJUKUMU YA IDARA YA ELIMU MSINGI. 

  • Uongozi na Utawala Idara ya Elimu Msingi kwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu.
  • Msimamizi mkuu wa Idara na Vitengo vyake katika kazi za kila siku.
  • Mdhibiti wa matumizi ya fedha za Idara kwa kuzingatia kanuni za matumizi ya fedha za Serikali.
  • Msimamizi mkuu wa mikakati na mbinu za kuinua kiwango cha Taaluma katika Wilaya.
  • Msimamizi mkuu wa shughuli za uboreshaji majengo, miundombinu na  mazingira ya shule Wilayani.
  • Msimamizi mkuu wa upatikanaji wa haki, maslahi na ustawi wa walimu Wilayani.
  • Kusimamia maadili, nidhamu na uwajibikaji wa walimu shuleni na walimu ofisini (Maafisa Elimu na Waratibu Elimu Kata).
  • Kusimamia uhamisho na uhamishaji wa walimu ndani na nje ya Wilaya.
  • Kusimamia idhini ya kwenda mafunzoni walimu na ofisini.
  • Kusimamia mapendekezo ya Waratibu Elimu Kata, TRC na walimu wakuu na kuwasilisha kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya.
  • Kusimamia OPRAS kwa Idara ya Elimu Msingi.

    TAALUMA 

  • Kufuatilia na kusimamia utekelezaji wa taarifa za ukaguzi;
  • Kushiriki katika uchaguzi wa wanafunzi watakaojiunga na Kidato cha Kwanza;
  • Kuratibu, kusimamia, kuendesha na kutathmini mitihani ya Darasa la Nne na Saba, pamoja na mitihani ya Ualimu na Ufundi katika Wilaya akishirikiana na Baraza la Mitihani Tanzania, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM – TAMISEMI) na Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi(WEMU);
  • Kubuni mipango ya kuinua kiwango cha taaluma katika Halmashauri na kusimamia utekelezaji wake;
  • Kukusanya, kuchanganua, kutuma na kutoa takwimu sahihi;
  • Kubuni mipango ya kuimarisha na kuendeleza taaluma ya walimu na wanafunzi;
  • Kuratibu mashindano ya taaluma yanayoendeshwa katikaWilaya;
  • Kuratibu utoaji wa huduma muhimu kwa wanafunzi kama vile mahudhurio, uhamisho na huduma za chakula;

VIFAA NA TAKWIMU

  • Kukusanya na kuratibu takwimu za kielimu.
  • Kupokea, kuchambua na kuratibu taarifa za mwezi,robo mwaka,nusu mwaka na mwaka.
  • Kupokea na kusimamia fedha za ruzuku ya uendeshaji shule[capitation grants] na maendeleo[development grants]
  • Kusimamia na kuratibu ujenzi wa miundombinu ya shule.
  • Kupokea na kuratibu taarifa za PEDP.
  • Kuratibu usajili wa wanafunzi wa darasa la awali na la kwanza.
  • Kuratibu na kusimamia vifaa vya Elimu.
  • Kuratibu mtihani wa Taifa wa darasa la IV na VII.
  • Kuratibu utoaji wa chakula shuleni.

ELIMU MAALUM

  • Kukusanya ,kuchanganua na kutuma takwimu sahihi za wanafunzi wenye ulemavu kuanzia shule za msingi sekondari na watu wazima.
  • Kubuni mipango ya kuimarisha na kuendeleza upatikanaji wa mahitaji ya wanafunzi wenye mahitaji maalum.
  • Kuratibu na kusimamia mafunzo kazini ya walimu wataalam wa elimu maalum.
  • Kusimamia upatikanaji wa chakula kwa wanafunzi wenye mahitaji maalum shuleni.
  • Kusimamia uandikishaji wa wanafunzi wenye mahitaji maalum kuanzia shule za msingi hadi sekondari.
  • Kufanya upimaji wa kina ili kubainisha viwango vya ulemavu kwa wanafunzi na kutoa huduma kulingana na mahitaji yao.
  • Kufanya kazi nyingine zitakazoagizwa na mkurugenzi na wakuu wa idara ya msingi na sekondari.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOITWA KWENYE SEMINA NAFASI YA WAANDISHI WASAIDIZI NA BVR December 19, 2024
  • ORODHA YA MAJINA YA AKIBA NAFASI YA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI December 19, 2024
  • TANGAZO BARAZA LA MADIWANI April 27, 2021
  • TANGAZO LA AJIRA ZA MKATABA June 10, 2021
  • Onesha Vyote

Habari Mpya

  • BLAC MAENDELEO YAHITIMISHA MAFUNZO KWA WAKAZI WA WILAYA YA RUNGWE

    May 02, 2025
  • CHANJO YA POLIO KUTOLEWA MEI MOSI

    April 16, 2025
  • KAMATI YA SIASA YAPONGEZA MIRADI

    April 15, 2025
  • MIKOPO YA ASILIMIA KUMI YAWANUFAISHA WANANCHI

    April 07, 2025
  • Onesha Vyote

Video

Vivutio vya Utalii
Picha Mjongeo Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
  • TAMISEMI

Vinganishi Linganifu

  • OR TAMISEMI
  • Wizara ya Elimu na Ufundi
  • Sekretarieti ya Ajira Utumishi wa Umma

Kipimo cha Wateja Duniani

world map hits counter

Wateja Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tukuyu Mjini-Mkabala na Benki ya NMB

    Sanduku la Posta: Box 148

    Simu: 025 255 2586

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: ded@rungwedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Huruhusiwi
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki Miliki ©2021 GWF. Haki Zimehifadhiwa