Imewekwa Tarehe: May 9th, 2022
Kilimo cha viazi mviringo kimeendelea kuwanufaisha wakazi kijiji cha Ntokela kata ya Ndanto Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe.
Uzingatiaji wa kanuni za kilimo bora, na soko la uhakika la viazi ...
Imewekwa Tarehe: April 29th, 2022
Barazani leo tarehe 29.04.2022 Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe Mhe. Mpokigwa Mwankuga ametaja kuwa katika kipindi cha robo ya tatu mwaka 2021/2022 January, February, na March mwaka huu, ...
Imewekwa Tarehe: April 22nd, 2022
Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe kwa Kushirikiana na kampuni ya Bioland inayojihusisha na ununuzi wa zao la Kakao kupitia mradi wa Cocoa for schools wamejenga na kukarabati zaidi ya vyumba 36 vya...