Imewekwa Tarehe: July 22nd, 2020
Mkuu wa wilaya ya Rungwe mhe. Nyangidu Julius Chalya amehani msiba katika kijji cha Goye kata Ndanto ambapo pamoja na mambo mengine mzee Lazaro Chaula (mfiwa) ameshukuru serikali kuwa karibu na ...
Imewekwa Tarehe: July 6th, 2020
Serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania imetoa zaidi ya Shilingi million 700 kwa ajili ya ukarabati na ujenzi wa majengo mapya na miundombinu ya Shule ya sekondari wavulana Rungwe.
...
Imewekwa Tarehe: July 1st, 2020
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya wilaya ya Rungwe bibi Loema Peter amekutana na viongozi wa soko la Kiwira na kutatua kero mbalimbali za soko hilo.
Aidha bibi Loema amewaomba viongozi hao k...