Imewekwa Tarehe: July 2nd, 2018
Wakuu wa shule za sekondari wakiwa katika kikao ambacho kimefanyika katika ukumbi wa kituo cha walimu wa sekondari kilichopo Tukuyu mjini. Lengo la kikao hicho ni kuangalia changamoto...
Imewekwa Tarehe: June 27th, 2018
Sogeza jiwe ni kampeni itumiwayo kuhamasisha ukarabati na ujenzi wa kituo cha afya Masukulu,ukarabati utafanyika kwa jengo moja la chumba cha kuhifadhia maiti na ujenzi wa majengo mapya ya...