• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Rungwe District Council
Rungwe District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa naSerikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Uchumi na Takwimu
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, U mwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Usafishaji na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Tehama na Mahusiano
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Utunzaji Nyuki
  • Uwekezaji
    • Uzalishaji wa Maziwa
    • Kiwanda Cha Matunda
    • Vivutio vya Uwekezaji
  • Huduma
    • Maji
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Ardhi na Maliasili
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba
      • Mikutano ya Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu za Maombi
    • Katiba Pendekezwa
    • Mihutasari
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
    • Matukio
    • Habari
    • Makala

Maendeleo na Ustawi wa Jamii

Idara ya Maendeleo ya Jamii ni miongoni mwa Idara 13 za Halmashauri ya wilaya ya Busokelo.

Idara imekuwa ikifanya kazi za jamii kwa kushirikiana na Idara zingine ili kufikia malengo yake, Idara ya maendeleo ya jamii imeundwa na vitengo TANO(5) ambavyo ni:-

1. Dawati la Jinsia na Watoto

  • Kutoa elimu ya Uraia mwema, uwajibikaji , Elimu ya Idadi ya watu na maisha ya familia
  • Kutoa elimu kwa jamii kuhusiana na sera ya maendeleo ya jamii , sera ya maendeleo ya wanawake na sera ya maendeleo ya watoto
  • Kutoa elimu ya ujasiriamali na kuhamasisha wanajamii hususani wanawake na vijana kujiunga katika vikundi vya uzalishaji mali
  • Kuratibu utoaji mikopo kwa Wanawake na Vijana
  • Kutoa elimu kwa jamii dhidi ya ukatili wa kijinsia na ukatili dhidi ya watoto na kuanzisha timu ngazi za vijiji na kata itayosimamia maswala ya ukatili wa watoto na wanawake

2. Vijana

3.Utafiti na mipango

  • Uibuaji na upangaji mipango ya vijiji/Kata kwa mfumo wa fursa na vikwazo kwa maendeleo(O&OD)
  • Kutoa mafunzo ya Utawala Bora na utunzaji wa kumbukumbu kwa viongozi / serikali za vijiji na taasisi katika Halmashauri
  • Uhamasishaji jamii kushiriki katika shughuli mbalimbali za maendeleo ya jamii na ushiriki katika kusimamia na kutekeleza miradi iliyopo katika maeneo yao.
  • Kuunganisha nguvu za jamii na serikali ili kuondoa fikra tegemezi.na kujitegemea wenyewe.
  • Kukusanya, kutunza,kutafsiri na kusambaza takwimu na kumbukumbu mbalimbali kwa ajili ya matumizi ya jamii.

4. Ustawi wa jamii

  • Huduma ya Ustawi wa familia na watoto, Malezi, Makuzi na Maendeleo ya awali ya watoto wadogo.
  • Mpango shirikishi jamii wa malezi ,makuzi, matunzo na ulinzi kwa yatima na watoto walio katika mazingira hatarishi.
  • Program ya stadi za malezi ya watoto walio katika mazingira hatarishi
  • Huduma na msaada wa kisaikolojia na kijamii (Psychosocial Care and Support)
  • Program ya maboresho ya sekta ya Sheria.

5. Uratibu wa mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI

Kitengo hiki kimejikita katika maeneo makuu manne:

  1. Mazingira Wezeshi
  • Kuweka mazingira mazuri ya kisiasa, kijamii, kiuchumi, na kiutamaduni ya mwitikio wa kitaifa dhidi ya UKIMWI kwa misingi ya Haki za Binadamu, Usawa wa kijinsia, uwazi pamoja na uwajibikaji katika ngazi zote na ushiriki mkubwa wa jamii
  • Uwezeshaji watu wanaoishi na VVU/UKIMWI
  • Kuunda na kuimarisha kamati za kuthibiti UKIMWI ngazi zote za vijiji,kata na Wilaya ili waweze kutoa elimu kwa jamii na kuwalinda na maambukizi ya VVU/UKIMWI
  • Kupiga vita unyanyapaa kwa wanaoishi na VVU/UKIMWI
  1. Kinga
  • Kuhamasisha matumizi sahihi ya kondomu na kusambaza kwa jamii
  • Kuhamasisha Unasihi na Upimaji wa hiari wa VVU(VCT)
  • Kutoa semina kwa jamii kuhusu maambukizi ya UKIMWI kupitia mikutano ya hadhara.
  • Kuhamasisha wajawazito kuhudhuria klinik mapema na kupata elimu ya kuzuia maambukizi ya VVU kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto (PMTCT)
  • Elimu ya stadi za maisha , VVU na UKIMWI kwenye makundi yaliyo katika hatari zaidi ya vijana ndani nan je ya shule na wanawake (MARPS)
  • Elimu ya VVU na UKIMWI kwa njia ya sinema na matamasha na usambazaji wa vipeperushi na majarida kwa jamii
  • Kutoa elimu ya UKIMWI mahali pa kazi

Vitengo vyote hivi kwa pamoja vinafanya kazi ya kuhakikisha jamii inajikwamua na umasikini, kuleta maendeleo endelevu katika jamii na kuongeza mapambano ya kinga dhidi ya janga la VVU/UKIMWI ambao umekuwa tishio kwa jamii nzima.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOITWA KWENYE SEMINA NAFASI YA WAANDISHI WASAIDIZI NA BVR December 19, 2024
  • ORODHA YA MAJINA YA AKIBA NAFASI YA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI December 19, 2024
  • TANGAZO BARAZA LA MADIWANI April 27, 2021
  • TANGAZO LA AJIRA ZA MKATABA June 10, 2021
  • Onesha Vyote

Habari Mpya

  • BLAC MAENDELEO YAHITIMISHA MAFUNZO KWA WAKAZI WA WILAYA YA RUNGWE

    May 02, 2025
  • CHANJO YA POLIO KUTOLEWA MEI MOSI

    April 16, 2025
  • KAMATI YA SIASA YAPONGEZA MIRADI

    April 15, 2025
  • MIKOPO YA ASILIMIA KUMI YAWANUFAISHA WANANCHI

    April 07, 2025
  • Onesha Vyote

Video

Vivutio vya Utalii
Picha Mjongeo Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
  • TAMISEMI

Vinganishi Linganifu

  • OR TAMISEMI
  • Wizara ya Elimu na Ufundi
  • Sekretarieti ya Ajira Utumishi wa Umma

Kipimo cha Wateja Duniani

world map hits counter

Wateja Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tukuyu Mjini-Mkabala na Benki ya NMB

    Sanduku la Posta: Box 148

    Simu: 025 255 2586

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: ded@rungwedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Huruhusiwi
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki Miliki ©2021 GWF. Haki Zimehifadhiwa