Imewekwa Tarehe: October 20th, 2022
Watalamu kutoka Mpango wa uimarishaji Mifumo ya Utawala bora Serikali za Mitaa ( PS3+)wakitazama ubao wa matangazo katika Kijiji Cha Nzunda kilichopo kata ya Ndanto ambapo wakazi wa Kijiji...
Imewekwa Tarehe: October 18th, 2022
Ukifika Mkoani Mbeya umefika Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe takribani km 70 kutoka katikati ya Jiji la Mbeya.
Rungwe Kuna vivutio vingi yakiwemo Maporomoko ya maji zaidi ya kumi.
...
Imewekwa Tarehe: October 15th, 2022
Wanafunzi wa kike waliokatisha Masomo kutokana na sababu mbalimbali wakijiandaa kufanya jambo mbele ya mgeni rasmi katika maadhimisho ya wiki ya elimu ya Watu wazima ambapo kimkoa imeadhimishwa Leo &n...