Imewekwa Tarehe: December 4th, 2020
MAMA WA SHOKA: Shughuli za ujenzi zikiendelea katika jengo la kitega uchumi mkabala na stendi kuu ya mabasi Tukuyu. Watu wengi wamejitokeza kuchangamkia fursa hii hali itakayo inua kipato c...
Imewekwa Tarehe: December 1st, 2020
KARIBU RUNGWE MBEYA: Hapa ni Makete kata ya Kisondela, Kanisa hili ni kongwe na limebeba historia ya wamissionari kutoa huduma ya kiroho Kwa waathirika wa ugonjwa wa UKOMA. Wago...
Imewekwa Tarehe: November 20th, 2020
SERIKALI imewekeza zaidi ya shilingi ya million 700 Kwa ajili ya ujenzi na ukarabati wa shule ya sekondari wavulana Rungwe. Shule hii inayopatikana chini ya mlima wa tatu Kwa urefu Ta...