Imewekwa Tarehe: October 20th, 2020
Katibu mkuu wizara ya viwanda na biashara Profesa Riziki Shemdoe mapema Leo ametembelea kiwanda cha Rungwe Avocado, Kuza Africa, na ASAS dairies ambapo pamoja na mambo mengine amesema...
Imewekwa Tarehe: October 15th, 2020
Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Rungwe bibi Husna Toni amewakumbusha wakazi wa halmashauri ya wilaya ya Rungwe kuendelea kujiandaa na zoezi la uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi oktoba mwaka huu, ...