Imewekwa Tarehe: December 28th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Rungwe Mhe Jaffar Haniu ameboresha taarifa zake katika Daftari la kudumu la Mpiga Kura katika kituo cha Shule ya Msingi Madaraka Tukuyu Mjini.
Zoezi hili linalenga ...
Imewekwa Tarehe: November 22nd, 2024
Mafunzo kwa wasimamizi wa vituo vya uchaguzi yameanza leo katika Halmashauri ya Rungwe yakilenga kuwajengea uwezo katika kusimamia uchaguzi kwa misingi ya Sheria, Taratibu na Kanuni za Uchaguzi ...