• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Rungwe District Council
Rungwe District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa naSerikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Uchumi na Takwimu
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, U mwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Usafishaji na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Tehama na Mahusiano
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Utunzaji Nyuki
  • Uwekezaji
    • Uzalishaji wa Maziwa
    • Kiwanda Cha Matunda
    • Vivutio vya Uwekezaji
  • Huduma
    • Maji
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Ardhi na Maliasili
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba
      • Mikutano ya Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu za Maombi
    • Katiba Pendekezwa
    • Mihutasari
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
    • Matukio
    • Habari
    • Makala

Kilimo, U mwagiliaji na Ushirika

  1. Majukumu ya Jumla ya Idara
  • Kuandaa mipango na bajeti ya mradi mbalimbali ya maendeleo ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika.
  • Kuratibu , Kutathimini na kufuatilia shughuli za huduma za ugani Wilayani
  • Kusimamia ujenzi na ukarabati wa miundombinu mbalimbali ya kilimo, Wilayani
  • Kuwajengea uwezo wakulima juu ya uzalishaji wa tija, usimamiazi na uendeshaji wa miradi ya maendeleo.
  • Kuongeza uzalishaji na tija kutokana na matumizi ya teknolojia bora zilizopatikana
  • Kuhamasisha matumizi ya zana bora za kilimo zilizotokana na utafiti
  • Kuzalisha aina za mbegu za daraja la kuazimiwa zenye mavuno mengi na bora ambazo pia zinastahimili ukame na visumbufu vya mimea na mazao
  • Kushirikiana na wadau mbalimbali wanaojihusisha na maendeleo ya sekta ya kilimo
  • Kuandaa taarifa na takwimu mbalimbali za maendeleo ya kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
  • Kuhimiza na kuhamasisha uanzishaji na uendelezaji wa vyama vya ushirika vyenye nguvu za kiuchumi na endelevu.
  • Kuhimiza na kuwezesha mabadiliko katika mfuko wa vyama Ushirika vya Akiba na Mikopo na Benki za Ushirika ili vyombo hivyo viweze kuwahudumia wanachama kikamilifu

B. Kitengo cha Kilimo

  • Sehemu ya Mazao
  • Sehemu ya mazao ya chakula inasumamiwa na kuratibiwa na Afisa mazao (Crop –SMS)
  • Sehemu ya mazao ya biashara inasimamiwa na kuratibiwa na Afisa mazo ya biashara (Cash crop –SMS)
  • Sehemu ya mazao ya bustani (horticultural crop) inasimaiwa na kuratibiwa na Afisa mazao ya bustani (Horticulture SMS)

Shughuli kuu za sehemu hizi ni pamoja na 

  • Kuandaa mpango na bajeti ya kilimo ya Wilaya
  • Kandaa na kufuatilia utekelezaji wa malengo ya kilimo
  • Kuainisha maenneo yanayofaa kwa kilimo pamoja na fursa za uwekezaji katika sekta ya kilimo zilizopo katika Wilaya hususani usindikaji , uzalishaji, kujenga uwezao wadau wa kilimo.
  • Kufanya tathimini ya hali ya chakula katika Wilaya
  • Kutoa elimu ya kilimo bora kwa wakulima
  • Kufanya uchunguzi wa awali wa kutabiri na kutoa tahadhari ya kutokea kwa wadudu waharibifu magonjwa ya mimea ya milipuko
  • Kuandaa na kuratibu mahitaji na upatikanaji wa zana za pembejeo za kilimo
  • Kuunganisha wakulima na wadau mbalimbali wa maendeleo ya sekta ya kilimo
  • Kusimamia matumizi na hifadhi ya ardhi /udongo
  • Kusimamia na kuratibu matumizi bora ya zana mbalimbali za kilimo
  • Kusimamia mafunzo ya wakulima katika kilimo bora na chenye tija
  • Kusimamia ukusanyaji na thathimini ya takwimu za kilimo
  • Kutengenea progaramme za kuthibiti visumbufu vya mimea na kuasambaza techinologia za uthibiti wa visumbufu vya mimea
  • Kusimamia jukwaa la wadau wakilimo na kuwanganisha pamoaja
  • Kusimamia sera na sheria mbalimbali zinasimamia kilimo katika ngazi ya wilaya
  •  

C. Kitengo cha Umwagiliaji

  • Majukumu ya Sehemu ya Umwagiliaji
  • Kuanisha maeneo yanayofaa kwa mkilimo cha umwagiliaji pamoja na fursa za kilimo cha umwagiliaji zilizopo katika Wilaya
  • Kusimamia kamati na vyama vya watumia maji katika skimu za umwagiliaji
  • Kutoa elimu ya matumizi endelevu ya rasilimali maji katika kilimo
  • Kusimamia utekelezaji wa BRN sekta ya kilimo)
  • Kuandaa program za umwagiliaji za asili
  • Kusimamia usafi na ukarabati wa skimu za umwagiliaji
  • Kuainisha maenneo yanayofaa kwa kuanzisha miradi ya umwagiliaji
  • Kuandaa program ya kufundisha wakulima juu ya kutunza miradi ya umwagiliaji
  • Kuandaa ratiba ya kazi ya ujenzi wa miradi ya umwagiliaji kwa kusaidiana na wahandisi na kutayarisha taarifa ya kazi
  • Kuandaa program za kuboresha miradi ya kilimo cha umwagiliaji wa asili (TIP)
  • Kukusanya na kutunza takwimu mbalimbali za kilimo cha umwagiliaji
  • Kwakushirikiana na IOs kuhakikisha kwamba wanaumoja wa skimu wanatekeleza wajibu wao ikiwa ni pamoja na matumizi bora ya maji , usafi wa miundombinu na ukusanyaji wa michango mbalimbali katika skimu
  • Kuandaa taarifa za kitengo za mwezi ,robo mwaka , nusu mwaka na mwaka

D. KITENGO CHA USHIRIKA :

  • MAJUKUMU YA SEHEMU YA USHIRIKA 
  • Kutoa elimu ya uhanasishaji kwa wananchi kwa lengo la kuanzisha vyama vya ushirika katika maeneo mbalimbali ndani ya Wilaya.
  • Kufanya ukaguzi kwa vyama vyote vya ushirika kwa lengo la kuhakiki
  • Utunzaji wa kumbukumbu , Usahihi katika uandishi wa vitabu vya fedha ,Utunzaji wa fedha , Ongezeko la wanachama , Mawekezo ya wanachama ,Wadai nna wadaiwa na Vikao na mikutano ya chama kama inafanyika n.k
  • Kuwajengea uwezo viongozi wa Bodi za vyama vyote vya ushirika yaani (SACCOS,AMCOS, na vyama vingine kwa lengo la kuongeza umahiri katika utendaji wao wa kazi.
  • Kupitia makisio ya mapato na matumizi ya vyama vya ushirika na kuwasilisha kwa Mrajis Msaidizi wa vyama vya ushirika (M) kwa lengo la kupitisha makisio hayo ili kuepusha chama kutumia fedha nje ya mapango ulio kusudiwa
  • Kusimamia chaguzi za viongozi wa vyama vya ushirika
  • Kuandaa taarifa (takwimu) za kila robo mwaka za vyama vya ushirika katika Wilaya na kuziwasilisha kwa Mrajis Msaidizi wa vyama vya ushirika (M)
  • Kuhakiki uhalali wa vyama vya ushirika kuweza kukopesheka na taasisis mbalimbali za kifedha
  • Kuratibu mchakato wa vyama vya ushirika katika kupata fursa za pembejeo za kilimo kama vile mbolea na madawa .

Sehemu ya Ugani

  • Majukumu ya Sehemu ya Ugani (DAEO)
  • Kumsaidia Afisa Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika katika kubuni mbinu mpya za utoaji huduma za ugani , ufuatiliaji , uhimizaji na kutoa miongozo ya utekelezaji wa utoaji wa hudhuma bora za ugani kwa Maafisa Ugani wa Vijiji/Kata
  • Kutengeneza mahusiano mazuri ya vikundi vya wakulima vya zamani na vipya na mitandao ya wakulima pamoja na taasisi zisizo za kiserikali zinazojihusisha na shughuli za kilimo (uzalishaji ,usindikaji na ununuzi na uuzaji)wafanyabiashara binafsi na kuhimiza maendeleo yao
  • Kutoa mwaongozo na kusimamia ukusanyaji wa takwimu na taarifa muhimu za ugani na kuzitafsiri
  • Kupanga na kushiriki katika uhamasishaji mafunzo na upangaji wa Maafisa ugani katika Halmashauri , na pia kupanga kuongoza na kufanya tathimini ya mafunzo kwa maafisa Ugani, wakulima na shughuli za ugani kwa ujumla
  • Ikiwa ni sehemu ya kiungo ya utafiti na ugani kutatenga na kudumisha mahusiano ya tija za ZARDIs kupitia ZIELU kkwa kuwa na mpango madhubuti wa mikutani ya kujadili maendeleo ya vishamba vya wakulima na mitandao ya wakulima
  • Kuhakikisha upatikanaji wa taarifa muhimu zinazo husiana na kilimo zinaapatikana katika vituo vya rasilimali vya kata (WARCs) kama vile vipeperushi , mihitasari ya matokeo ya tafiti mmbalimbali , taarrifa za masoko n.k
  • Kuwaongoza na kuwasaidia wataalamu kutoka nje ya Halmashauri inapo bodi wanao kuja kusaidi a kuendeleza shughuli za ugani klama utoaji elimu ya ugani , elimu ya akiba na mikopo kwa vikundi vya wakulima n.k
  • Kuhakikisha kuwa kila Afisa Ugani ana mashamba darasa yasiyopungua 8 kwa msimu ikiwa ni nyezo ya kufikia wakulima katika huduma za ugani
  • Kusimamaia maafisa ugani kuendesha vishamba vya majaribio , vishamba vya mfano , mashamba darasa na bustani mama za mazao hususan Kahawa, migomba n.k
  • Kusimamia matumizi ya rasilimali zinazotolewa kwa ajili ya makusudi ya kusukuma shughuli za ugani .
  • Kuandaa taarifa za shughuli za ugani za robo mwaka , nusu mwaka na mwaka.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOITWA KWENYE SEMINA NAFASI YA WAANDISHI WASAIDIZI NA BVR December 19, 2024
  • ORODHA YA MAJINA YA AKIBA NAFASI YA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI December 19, 2024
  • TANGAZO BARAZA LA MADIWANI April 27, 2021
  • TANGAZO LA AJIRA ZA MKATABA June 10, 2021
  • Onesha Vyote

Habari Mpya

  • BLAC MAENDELEO YAHITIMISHA MAFUNZO KWA WAKAZI WA WILAYA YA RUNGWE

    May 02, 2025
  • CHANJO YA POLIO KUTOLEWA MEI MOSI

    April 16, 2025
  • KAMATI YA SIASA YAPONGEZA MIRADI

    April 15, 2025
  • MIKOPO YA ASILIMIA KUMI YAWANUFAISHA WANANCHI

    April 07, 2025
  • Onesha Vyote

Video

Vivutio vya Utalii
Picha Mjongeo Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
  • TAMISEMI

Vinganishi Linganifu

  • OR TAMISEMI
  • Wizara ya Elimu na Ufundi
  • Sekretarieti ya Ajira Utumishi wa Umma

Kipimo cha Wateja Duniani

world map hits counter

Wateja Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tukuyu Mjini-Mkabala na Benki ya NMB

    Sanduku la Posta: Box 148

    Simu: 025 255 2586

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: ded@rungwedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Huruhusiwi
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki Miliki ©2021 GWF. Haki Zimehifadhiwa