Imewekwa Tarehe: October 15th, 2021
Mkuu wa Wilaya ya Rungwe Dkt Vicent Anney ametembelea shule ya Msingi Igogwe iliyopo kata ya Kinyala na Kuzungumza na wanafunzi wa shule hiyo.
Mhe. Dkt Anney ameagiza wanafunzi wote katika Wilaya y...
Imewekwa Tarehe: October 12th, 2021
Nchi ya Malawi imeendelea kutumia Reli ya TAZARA ikiwa ni njia pekee ya kusafirisha mizigo ya nchi hiyo sambamba na kupunguza uharibifu wa barabara kwa kupakia mizigo inayozidi uwezo.
Rai hiyo imet...
Imewekwa Tarehe: October 11th, 2021
Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe kwa kushirikiana na kampuni ya ununuzi wa zao la kakao-Bioland imeendelea na ujenzi na ukarabati wa vyumba vya madarasa katika shule mbalimbali katika kata ya Kis...