• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Rungwe District Council
Rungwe District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa naSerikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Uchumi na Takwimu
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, U mwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Usafishaji na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Tehama na Mahusiano
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Utunzaji Nyuki
  • Uwekezaji
    • Uzalishaji wa Maziwa
    • Kiwanda Cha Matunda
    • Vivutio vya Uwekezaji
  • Huduma
    • Maji
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Ardhi na Maliasili
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba
      • Mikutano ya Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu za Maombi
    • Katiba Pendekezwa
    • Mihutasari
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
    • Matukio
    • Habari
    • Makala

Ujenzi na Zimamoto

Idara ina vitengo vifutavyo:

  • Kitengo cha barabara

Kitengo hiki kazi yake kuu ni kuratibu kazi za matengenezo ya barabara za Halmashauri ya Wilaya. Ikumbukwe kuwa, Barabara zilizopokatika Wilaya zimegawanywa katika makundi yafuatayo:

  • Barabara zilizo chini ya wakala wabarabaranchini( TANROADS)

Hizi ni barabara zinazotunzwa na TANROADS. Barabara hizi zina sifa zifuatazo: zinaunganisha makao makuu ya Wilaya na Mkoa, Makao makuu ya Wilaya na Wilaya, au zinaunganisha Wilaya na barabara kuu n.k

  • Barabara zinazohudumiwa na Halmashauri ya Wilaya.

 Katika kundi hili kuna barabara zenye kuwa na sifa zifuatazo: barabara zinazounganisha makao makuu ya kata na Wilaya, kata na kata, Tarafa na kata, barabaraza mijini . Halmashauri ya Wilaya inahudumia mtandao wa barabara zenye urefu wa 510Km .

  • Barabara zinazohudumiwa na jamii( Community roads).

Hizi ni barabara zinazounganisha kijiji na kijiji,kitongoji na kijiji.

Barabara zilizo chini ya jamii zina urefu wa 430Km .

Jukumu kuu la idara ya ujenzi ni kuhakikisha barabara zinazohudumiwa na Halmashauri na Jamii zinaendelea kutengenezwa na kupitika aidha kwa kutoa ushauri katika jamii husika( Community roads) namna bora yakuzifanyia matengenezo barabara hizo.

 Halmashauri ina barabara za mijini(urban roads ) katika miji ya Lwangwa makao makuu ya wilaya na Kandete. Kwa kuwa miji hii inakuwa kwa kasi, ni jukumu la Halmashauri ya Wilaya kupitia idara ya Ujenzi kuhakikisha miundombinu ya barabara inatengenezwa namajengo yanafuata taratibuza mipango miji.

Katika mwaka wa fedha 2015/2016 Halmashauri iliendelea kufungua barabara ili kuboresha huduma za jamii.

Pia Serikali ya Uingereza kupitia shirika lake la maendeleo (DFID) imeweza kufadhili miradi ya Ujenzi wa barabara na madaraja ili kuimarisha sekta ya usafiri vijijini.

  • Kitengo cha majengo

Kazi kubwa ya kitengo hiki ni kusimamia na kuratibu kazi za Majengo ya serikali na jamii. Majengo ya serikali yanayosimamiwa na kitengo hiki ni Majengo ya kutolea huduma za afya, Kilimo, Elimu, Utawala. N.k. Hata hivyo, ushauri kwa wananchi wanaopenda kujenga nyumba za bei nafuu na imara      (zenye Kufuata taratibu za Kihandisi) umekuwa ukitolewa ili kuwa na majengo yenye tija. Sambamba na hilo kwa kushirikiana na idara ya ardhi tumeanzisha utaratibu wa kupitia michoro kwa kila mwananchi anayetaka kujenga nyumba yake katika mji wa Lwangwa na kandete ili kuhakikisha Ujenzi unakuwa wenye tija na unaofuata taratibu za mipango miji.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOITWA KWENYE SEMINA NAFASI YA WAANDISHI WASAIDIZI NA BVR December 19, 2024
  • ORODHA YA MAJINA YA AKIBA NAFASI YA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI December 19, 2024
  • TANGAZO BARAZA LA MADIWANI April 27, 2021
  • TANGAZO LA AJIRA ZA MKATABA June 10, 2021
  • Onesha Vyote

Habari Mpya

  • BLAC MAENDELEO YAHITIMISHA MAFUNZO KWA WAKAZI WA WILAYA YA RUNGWE

    May 02, 2025
  • CHANJO YA POLIO KUTOLEWA MEI MOSI

    April 16, 2025
  • KAMATI YA SIASA YAPONGEZA MIRADI

    April 15, 2025
  • MIKOPO YA ASILIMIA KUMI YAWANUFAISHA WANANCHI

    April 07, 2025
  • Onesha Vyote

Video

Vivutio vya Utalii
Picha Mjongeo Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
  • TAMISEMI

Vinganishi Linganifu

  • OR TAMISEMI
  • Wizara ya Elimu na Ufundi
  • Sekretarieti ya Ajira Utumishi wa Umma

Kipimo cha Wateja Duniani

world map hits counter

Wateja Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tukuyu Mjini-Mkabala na Benki ya NMB

    Sanduku la Posta: Box 148

    Simu: 025 255 2586

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: ded@rungwedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Huruhusiwi
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki Miliki ©2021 GWF. Haki Zimehifadhiwa