Imewekwa Tarehe: October 12th, 2020
MALAMBA WATER FALLS. Maporomoko haya ya Maji yapo Kata ya Suma Barabara ya Katumba -Mwakaleli. Ni moja ya maeneo yenye uoto Wa asili na mvuto Wa kipekee Kwa wageni na wenyeji.
...
Imewekwa Tarehe: October 12th, 2020
Moja ya kanisa linalotajwa kuwa la kale zaidi wilayani Rungwe. Kanisa hili linapatikana kijiji cha Ndubi/ Kisa, Kata ya Kisondela .
...
Imewekwa Tarehe: October 10th, 2020
Ili kupunguza msongamano wa wanafunzi madarasani na kuongeza kiwango cha ufaulu wenye tija Kwa taifa serikali imetoa kiasi cha shilingi million 49 Kwa ajili ya ujenzi madarasa mapya na matu...