Imewekwa Tarehe: June 26th, 2020
Kiwanda cha Maji Tukuyu kimezinduliwa leo mapema na Waziri wa uwekezaji Mhe. Angela Kairuki katika kijiji cha Kibisi kata ya Kyimo wilayani Rungwe.Akizundua kiwanda hicho kinachomilikiwa na kampuni ya...
Imewekwa Tarehe: June 16th, 2020
Timu ya maafisa habari kutoka idara ya Habari Maelezo makao makuu imetembelea kiwanda cha matunda ya parachichi cha Rungwe avocado company na kubaini kuwa kiwanda hicho kimeongeza wigo wa ajira...
Imewekwa Tarehe: June 12th, 2020
Ziara ya mkurugenzi mtendaji halmashauri ya wilaya ya Rungwe Bibi Loema Peter imefanyika kwa kutembelea shule zote za kidato cha sita wilayani Rungwe huku akisisitiza mambo yafuatayo kuelekea mtihani ...