Imewekwa Tarehe: February 24th, 2021
Msimu wa uvunaji wa mahindi unaendelea katika maeneo takribani yote katika halmashauri ya wilaya ya Rungwe Mkoani Mbeya.
Wakulima wanashauriwa kuvuna kwa wakati , Kuyakausha kwa joto la kutosha na ...
Imewekwa Tarehe: February 19th, 2021
Baraza la madiwani la kawaida limeketi leo katika Ukumbi wa halmashauri ya wilaya ya Rungwe ambapo pamoja na mambo mengine waheshimiwa madiwani wamepongeza namna halmashauri inavyosimamia miradi mbali...
Imewekwa Tarehe: February 18th, 2021
Baraza la madiwani la kazi limeketi leo katika ukumbi wa halmashauri - MWANKENJA. Pamoja na mambo mengine watendaji wa Kata, na vijiji wamehimizwa kuitisha vikao na mikutano Mara Kwa Mara i...