@halmashauri_ya_rungwe__mbeya leo tarehe 3.9.2025 imeshiriki maonesho ya wiki ya elimu ya watu wazima, Maadhimisho yaliyofanyika kimkoa Makongorosi wilayani Chunya huku ikiwaangazia wananchi namna jamii ilivyonufaika na elimu hii katika sekta ya viwanda vidogovidogo, sanaa za mikono, Elimu ya darasani, Kilimo pamoja na mifugo #kaziiendelee
Tukuyu Mjini-Mkabala na Benki ya NMB
Sanduku la Posta: Box 148
Simu: 025 255 2586
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: ded@rungwedc.go.tz
Haki Miliki ©2021 GWF. Haki Zimehifadhiwa