Halmashauri ya Wilaya Ya Rungwe imeendelea kuadhimisha Wiki ya Elimu ya watu wazima katika Maeneo mbalimbali ambapo katika kituo cha Kiwira sekondari imeshuhudiwa wanafunzi waliokosa Elimu kutokana na changamoto mbalimbali wakiwa katika nyuso za furaha baada ya Mhe Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Mhe @samia_suluhu_hassan kuresha na kutoa fursa ya kupata elimu bure ikiwa ni hatua ya kukuza na kuongeza maarifa na ujuzi wa watu wake hapa nchini.
Tukuyu Mjini-Mkabala na Benki ya NMB
Sanduku la Posta: Box 148
Simu: 025 255 2586
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: ded@rungwedc.go.tz
Haki Miliki ©2021 GWF. Haki Zimehifadhiwa