• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Rungwe District Council
Rungwe District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa naSerikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Uchumi na Takwimu
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, U mwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Usafishaji na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Tehama na Mahusiano
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Utunzaji Nyuki
  • Uwekezaji
    • Uzalishaji wa Maziwa
    • Kiwanda Cha Matunda
    • Vivutio vya Uwekezaji
  • Huduma
    • Maji
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Ardhi na Maliasili
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba
      • Mikutano ya Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu za Maombi
    • Katiba Pendekezwa
    • Mihutasari
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
    • Matukio
    • Habari
    • Makala

KIKAO CHA BARAZA LA KAZI

Imewekwa Tarehe: April 29th, 2020

Kikao cha baraza la kazi kimefanyika leo katika ukumbi wa chuo cha Ualimu Tukuyu kikiwakutanisha Waheshimiwa madiwani, Wataalamu kutoka halmashauri ya wilaya ya Rungwe pamoja na watendaji wa kata zote zilizopo katika halmashauri hiyo.

Kikao kilianza kwa wajumbe wote kunawa  kwa sabuni na maji tiririka na kisha  wajumbe waliketi  kwa umbali wa zaidi ya mita moja ikiwa ni juhudi za kupambana na maambukizi ya COVID 19- CORONA.

Katika kikao hicho mengi yalijadiliwa lakini kubwa zaidi ilikuwa ni kupitia mapato ya ndani ya halmashauri ya wilaya ya Rungwe ambapo ilitajwa kuwa   mapato yamekuwa yakipanda kutokana na juhudi kubwa za watendaji wa serkali.

Akishukuru hatua hiyo diwani wa kata ya Isongole  mh. Laurance Mfwango (CCM) aliwashukuru watendaji wa  serikali kwa juhudi zao kubwa ambazo wamekuwa wakizielekeza katika kukusanya mapato ya serikali.

 Hata hivyo mwenyekiti wa halmshauri ya wilaya ya Rungwe Mhe. Ezekiel Mwakota aliiomba kata ya Matwebe iliyopo tarafa ya Pakati kuendelea kuboresha mapato yake kwa kusimamia vyanzo vyake kwani kwa muda mrefu Imekuwa nyuma katika kukusanya mapato.

 Pamoja na hayo mkurugenzi mtendaji halmashauri ya wilaya ya Rungwe bibi Loema Peter aliwaomba madiwani kuendelea kuwasimamia watendaji waliopo katika meneo yao kuhakikisha wanakusanya mapato pamoja na utawala bora kwani walio wengi wamekuwa wazembe  na hivyo kupunguza kasi ya halmashauri kuwahudumia wananchi kwa kukosa fedha.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOITWA KWENYE SEMINA NAFASI YA WAANDISHI WASAIDIZI NA BVR December 19, 2024
  • ORODHA YA MAJINA YA AKIBA NAFASI YA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI December 19, 2024
  • TANGAZO BARAZA LA MADIWANI April 27, 2021
  • TANGAZO LA AJIRA ZA MKATABA June 10, 2021
  • Onesha Vyote

Habari Mpya

  • BLAC MAENDELEO YAHITIMISHA MAFUNZO KWA WAKAZI WA WILAYA YA RUNGWE

    May 02, 2025
  • CHANJO YA POLIO KUTOLEWA MEI MOSI

    April 16, 2025
  • KAMATI YA SIASA YAPONGEZA MIRADI

    April 15, 2025
  • MIKOPO YA ASILIMIA KUMI YAWANUFAISHA WANANCHI

    April 07, 2025
  • Onesha Vyote

Video

Vivutio vya Utalii
Picha Mjongeo Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
  • TAMISEMI

Vinganishi Linganifu

  • OR TAMISEMI
  • Wizara ya Elimu na Ufundi
  • Sekretarieti ya Ajira Utumishi wa Umma

Kipimo cha Wateja Duniani

world map hits counter

Wateja Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tukuyu Mjini-Mkabala na Benki ya NMB

    Sanduku la Posta: Box 148

    Simu: 025 255 2586

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: ded@rungwedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Huruhusiwi
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki Miliki ©2021 GWF. Haki Zimehifadhiwa