Jane Lyimo ni Mkurugenzi wa Urasimishaji wa Ardhi na Biashara Tanzania( MKURABITA ) ametaja kuwa kupitia kituo jumuishi cha urasimishaji wa biashara kilichopo jengo la Mamlaka ya Mji mdogo Tukuyu, Wafanyabiashara watapata huduma KIBENKI, TRA, na LESENI kwa ukaribu na haraka zaidi( One stop center)
Hii itajumuisha upatikanaji wa taarifa za uendeshaji wa biashara, kusajili biashara, kusajili vituo vya bodaboda, kusajili leseni za biashara na waendesha bodaboda, taarifa za kodi, Huduma za kibenki, bima na mtandao wa Masoko.
Kwa Sasa kituo kimekamilika na kipo mbioni kuanza kutoa huduma
.Mafunzo kwa wafanyabiashara wote yatajumuisha kata zote wilayani Rungwe. .
Tukuyu Mjini-Mkabala na Benki ya NMB
Sanduku la Posta: Box 148
Simu: 025 255 2586
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: ded@rungwedc.go.tz
Haki Miliki ©2021 GWF. Haki Zimehifadhiwa