• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Rungwe District Council
Rungwe District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa naSerikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Uchumi na Takwimu
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, U mwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Usafishaji na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Tehama na Mahusiano
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Utunzaji Nyuki
  • Uwekezaji
    • Uzalishaji wa Maziwa
    • Kiwanda Cha Matunda
    • Vivutio vya Uwekezaji
  • Huduma
    • Maji
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Ardhi na Maliasili
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba
      • Mikutano ya Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu za Maombi
    • Katiba Pendekezwa
    • Mihutasari
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
    • Matukio
    • Habari
    • Makala

WAFANYABIASHARA WAJENGEWA KITUO

Imewekwa Tarehe: June 17th, 2022

Jane  Lyimo ni Mkurugenzi wa    Urasimishaji wa Ardhi na Biashara Tanzania( MKURABITA ) ametaja kuwa kupitia kituo  jumuishi cha urasimishaji wa biashara kilichopo jengo la Mamlaka ya Mji mdogo Tukuyu, Wafanyabiashara watapata huduma KIBENKI, TRA, na LESENI kwa ukaribu na haraka zaidi( One stop center)

Hii itajumuisha upatikanaji wa taarifa za uendeshaji wa biashara, kusajili biashara, kusajili vituo vya bodaboda, kusajili leseni za biashara na waendesha bodaboda, taarifa za kodi, Huduma za kibenki,  bima na mtandao wa Masoko.

Kwa Sasa kituo kimekamilika na kipo mbioni kuanza kutoa huduma

.Mafunzo kwa wafanyabiashara wote yatajumuisha kata zote wilayani Rungwe. .

Matangazo

  • FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELEO ZILIZOPOKELEWA KWA KIPINDI CHA MWEZI JULAI, 2020 HADI FEBRUARI, 2021 March 17, 2021
  • TANGAZO LA ZABUNI March 30, 2021
  • TANGAZO BARAZA LA MADIWANI April 27, 2021
  • TANGAZO LA AJIRA ZA MKATABA June 10, 2021
  • Onesha Vyote

Habari Mpya

  • KAKAO KATIKA KIJIJI CHA LUBANDA, DC AHAMASISHA UUNDAJI WA VIKUNDI

    June 24, 2022
  • KAKAO KATIKA KIJIJI CHA LUBANDA

    June 24, 2022
  • WATANZANIA TUJIANDAE KUHESABIWA

    June 17, 2022
  • WAFANYABIASHARA WAJENGEWA KITUO

    June 17, 2022
  • Onesha Vyote

Video

Vivutio vya Utalii
Picha Mjongeo Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
  • TAMISEMI

Vinganishi Linganifu

  • OR TAMISEMI
  • Wizara ya Elimu na Ufundi
  • Sekretarieti ya Ajira Utumishi wa Umma

Kipimo cha Wateja Duniani

world map hits counter

Wateja Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tukuyu Mjini-Mkabala na Benki ya NMB

    Sanduku la Posta: Box 148

    Simu: 025 255 2586

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: ded@rungwedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Huruhusiwi
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki Miliki ©2021 GWF. Haki Zimehifadhiwa