• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Rungwe District Council
Rungwe District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa naSerikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Uchumi na Takwimu
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, U mwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Usafishaji na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Tehama na Mahusiano
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Utunzaji Nyuki
  • Uwekezaji
    • Uzalishaji wa Maziwa
    • Kiwanda Cha Matunda
    • Vivutio vya Uwekezaji
  • Huduma
    • Maji
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Ardhi na Maliasili
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba
      • Mikutano ya Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu za Maombi
    • Katiba Pendekezwa
    • Mihutasari
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
    • Matukio
    • Habari
    • Makala

DC HANIU AFANYA ZIARA MRADI WA MAJI

Imewekwa Tarehe: February 3rd, 2023

Mkuu wa Wilaya ya Rungwe Mhe. Jaffar Haniu amefanya ziara Leo Asubuhi tarehe 02.01.2023 katika chanzo Cha maji Mbaka-Ikama kilichopo kata ya Itagata Barabara ya Katumba -Mwakaleli.


Akiwa katika chanzo hicho Mhe. Haniu ameuagiza uongozi wa Mamlaka ya Maji Tukuyu Mjini (TUWASA) kuharakisha upanuzi wa chanzo hicho ili kutoa fursa ya kuhudumia zaidi ya wakazi 6,330 waishio Tukuyu Mjini.


" Mheshimiwa Rais ametoa fedha nyingi sana kwa ajili ya upanuzi wa chanzo hiki zaidi ya shilingi Billion 3.4 zimetolewa hivyo niwaagize mfanye kazi kwa bidii na weledi ili tuwasogezee hii huduma muhimu katika maeneo yao" Ameagiza Mhe. Haniu.


Mradi huu ulionza kusanifiwa mwaka 2021 unatarajia kuzalisha zaidi ya Lita 45,000 kwa siku huku mahitaji yakiwa ni Lita 22,000 ifikapo mwaka 2042 kwa siku na hivyo kutoa ziada ya maji katika mji wa Tukuyu.


Mradi huu unatarajia kukamilika Mwezi julai 2023 ambapo shughuli za ujenzi zimefikia asilimia 80% zikihusisha ulazaji wa Bomba kwa kuu la mserereko kwa umbali wa Km 9.5 kutoka kwenye chanzo Cha maji hadi kwenye soko la ndizi Msasani ambapo tenki kuu la kupokelea na kuhifadhi maji linatarajia kujengwa, ujenzi wa tenki la kupunguza mgandamizo wa maji, ujenzi wa tenki kuu la kuhifadhia maji eneo la sokoni lenye ujazo wa Lita million 1.5 ambapo ujenzi wake upo asilimia 5% na uchimbaji wa mtaro na kulaza mabomba ya kusambazia maji umbali wa kilometa 20.


Akiwa katika eneo la ujenzi wa tenki katika soko la ndizi Msasani Mhe.Haniu amemwagiza mkandarasi anayetekeleza Mradi huo kufanya kazi usiku na mchana ili kukamilisha kwa wakati kazi hiyo na kuleta tija na Maendeleo kwa Wananchi.


Wakazi wa mji wa Tukuyu kwa Sasa hupata maji kutoka chanzo Cha maji Mlagala, Maswisa, na Msalala ambavyo kwa siku hutoa kiasi Cha Lita za maji 5,880 kwa siku ukilinganisha na mahitaji ya Lita 15,000 kwa siku sawa na asilimia 39.2% ya mahitaji.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOITWA KWENYE SEMINA NAFASI YA WAANDISHI WASAIDIZI NA BVR December 19, 2024
  • ORODHA YA MAJINA YA AKIBA NAFASI YA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI December 19, 2024
  • TANGAZO BARAZA LA MADIWANI April 27, 2021
  • TANGAZO LA AJIRA ZA MKATABA June 10, 2021
  • Onesha Vyote

Habari Mpya

  • BLAC MAENDELEO YAHITIMISHA MAFUNZO KWA WAKAZI WA WILAYA YA RUNGWE

    May 02, 2025
  • CHANJO YA POLIO KUTOLEWA MEI MOSI

    April 16, 2025
  • KAMATI YA SIASA YAPONGEZA MIRADI

    April 15, 2025
  • MIKOPO YA ASILIMIA KUMI YAWANUFAISHA WANANCHI

    April 07, 2025
  • Onesha Vyote

Video

Vivutio vya Utalii
Picha Mjongeo Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
  • TAMISEMI

Vinganishi Linganifu

  • OR TAMISEMI
  • Wizara ya Elimu na Ufundi
  • Sekretarieti ya Ajira Utumishi wa Umma

Kipimo cha Wateja Duniani

world map hits counter

Wateja Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tukuyu Mjini-Mkabala na Benki ya NMB

    Sanduku la Posta: Box 148

    Simu: 025 255 2586

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: ded@rungwedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Huruhusiwi
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki Miliki ©2021 GWF. Haki Zimehifadhiwa