Serikali ya awamu ya sita kupitia mfuko wa Global fund imetoa kiasi cha shilingi Miliion 271 kwa ajili ya ujenzi wa majengo mengine mapya katika zahanati ya Masoko iliyopo katika kijiji cha Lwifwa kata ya Kisiba.
Zahanati hiyo iliyopo kando ya ziwa kisiba kumalizika kwa ujenzi wake kutaongeza ufanisi wa utoaji wa huduma ya afya kwa wakazi wa kata hiyo hususani kwa mama na mtoto.
Tukuyu Mjini-Mkabala na Benki ya NMB
Sanduku la Posta: Box 148
Simu: 025 255 2586
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: ded@rungwedc.go.tz
Haki Miliki ©2021 GWF. Haki Zimehifadhiwa