Zoezi LA ugawaji wa vitambulisho vya wajasiriamali kwa watendaji wa Kata limefanyika leo mapema.Vitambulisho hivyo ambavyo vitagawiwa kwa wajasriamali sasa vitahusisha usajili kwa njia ya mfumo ambapo malipo yatafanyika kielektroniki kwa kutumia Mawakala wa huduma za kifedha kwa kuhusisha "control number".
Tukuyu Mjini-Mkabala na Benki ya NMB
Sanduku la Posta: Box 148
Simu: 025 255 2586
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: ded@rungwedc.go.tz
Haki Miliki ©2021 GWF. Haki Zimehifadhiwa