Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Rais Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan imetoa kiasi cha shilingi Milion 25 kwa ajili ya manunuzi ya vifaa tiba katika zahanati ya Simike iliyopo katika kata ya Lufingo.
Manunuzi tayari yamekamilika na vifaa vimepokelewa katika zahanati hiii.
Baadhi ya vifaa tiba ni pamoja na vitanda, viti mwendo, darubini, na vingine vingi.
Aidha Halmashauri ya wilaya Rungwe ipo mbioni kukamilisha ujenzi wa nyumba ya watumishi wa afya katika zahanati hii hatua itakayosaidia kutoa huduma kwa wagonjwa kwa ukaribu zaidi.
BUNGE TANZANIA
Ofisi ya Rais - Tamisemi
Ikulu habari Zanzibar
Ikulu Mawasiliano
Msemaji Mkuu wa Serikali
Renatus Mchau
RUNGWE YETU" Mbeya".
CCM MKOA WA MBEYA
Swahili Nations
Mwananchi
Wizara ya Afya
StarTimes
Tukuyu Mjini-Mkabala na Benki ya NMB
Sanduku la Posta: Box 148
Simu: 025 255 2586
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: ded@rungwedc.go.tz
Haki Miliki ©2021 GWF. Haki Zimehifadhiwa