MAMA WA SHOKA: Shughuli za ujenzi zikiendelea katika jengo la kitega uchumi mkabala na stendi kuu ya mabasi Tukuyu. Watu wengi wamejitokeza kuchangamkia fursa hii hali itakayo inua kipato cha kaya na wilaya Kwa ujumla. Jengo hili linalotarajiwa kuwa na urefu wa ghorofa mbili litatoa Huduma ya maduka, ofisi pamoja na ukumbi wa mikutano.
Tukuyu Mjini-Mkabala na Benki ya NMB
Sanduku la Posta: Box 148
Simu: 025 255 2586
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: ded@rungwedc.go.tz
Haki Miliki ©2021 GWF. Haki Zimehifadhiwa