Imewekwa Tarehe: August 3rd, 2024
Maoni dhidi ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 imeingia hatua nyingine ambapo hatua hii imewakutanisha wakazi wa Mikoa ya Nyanda za juu Kusini katika ukumbi wa Eden Highland Forest jijini Mbeya.
...
Imewekwa Tarehe: July 28th, 2024
Wananchi pamoja na watumishi mbalimbali katika wilaya ya Rungwe wameshiriki zoezi la kuongeza uchangamshi wa mwili kwa kufanya mazoezi mbalimbali katika uwanja wa Mpira Tukuyu Mjini.
Hili ...
Imewekwa Tarehe: July 28th, 2024
Mkandarasi wa Mradi wa ujenzi wa kituo Jumuishi cha kuongeza thamani ya mazao ya Bustani hususani Parachichi amekabidhiwa eneo la utekelezaji wa Mradi huu lililopo kijiji cha Nkunga kata ya Nkunga.
...