Imewekwa Tarehe: May 10th, 2022
Ukiwa Nzunda kata ya Ndanto utaona mengi ya kufurahisha.
Kijiji hiki kipo katikati ya kijiji cha Swaya na Ntokela Tarafa ya Ukukwe Halmashauri ya wilaya ya Rungwe Mkoani Mbeya.Kijiji hiki ni nyota ...
Imewekwa Tarehe: May 9th, 2022
Kilimo cha viazi mviringo kimeendelea kuwanufaisha wakazi kijiji cha Ntokela kata ya Ndanto Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe.
Uzingatiaji wa kanuni za kilimo bora, na soko la uhakika la viazi ...
Imewekwa Tarehe: April 29th, 2022
Barazani leo tarehe 29.04.2022 Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe Mhe. Mpokigwa Mwankuga ametaja kuwa katika kipindi cha robo ya tatu mwaka 2021/2022 January, February, na March mwaka huu, ...