Imewekwa Tarehe: June 17th, 2022
Wakazi wa kijiji cha Igembe kata ya Masoko wameanza ujenzi wa zahanati ya kijiji Chao ikiwa ni hatua muhimu ya kusogeza huduma ya afya katika maeneo wanayoishi.
Ujenzi huo uliofikia hatua ya ...
Imewekwa Tarehe: June 16th, 2022
Rungwe District Counci
l
.Diwani wa kata ya Kiwira Mhe. Klait Mwamwimbe amehamasisha wakazi wa kata ya Kiwira kuendelea kuchangia chakula shuleni ikiwa ni hatua muhimu ya kuonge...
Imewekwa Tarehe: May 11th, 2022
Mafunzo ya kuwajengea uwezo Viongozi katika kata ya Ndanto yameendelea kwa wiki moja mfululizo.
Mafunzo hayo yanayotolewa na mradi wa PS3+ Chini ya wizara ya TAMISEMI kwa ufadhili wa watu wa ...