Imewekwa Tarehe: June 19th, 2023
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi wilaya ya Rungwe Ndugu Mekson Mwakipunga ameongoza Kamati ya Siasa Wilaya katika uzinduzi wa barabara ya Ibililo -Kyosa yenye urefu wa km 10 kwa gharama ya shil...
Imewekwa Tarehe: June 17th, 2023
Mamia ya wakazi wa kata ya Kyimo wamejitokeza kwa wingi katika uzinduzi wa kituo cha afya Kyimo.
Uzinduzi umeongozwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Rungwe Mhe.Mpogigwa Mwankuga....
Imewekwa Tarehe: June 12th, 2023
Serikali ya awamu ya sita imeendelea kuboresha miundombinu ya barabara kwa kiwango kikubwa katika wilaya ya Rungwe.
Katika hatua hii barabara ya Tukuyu- Busokelo ipo mbioni kuk...