Imewekwa Tarehe: January 26th, 2021
Baada ya hostel ya shule ya sekondari Nkunga kuungua Kwa moto mapema Jana alfajiri ( January , 27) wadau mbalimbali wamejitokeza kuchangia ujenzi wa hostel mpya inayotarajia kugharimu kiasi...
Imewekwa Tarehe: January 19th, 2021
Pamoja na juhudi za kutunza vyanzo vya maji zinazoendelea nchini kote Msimu huu, Inatajwa pia kuwa shughuli za kibinadamu zinakwamisha zoezi hili kwani watu wamekuwa wakichafua MAJI na kuha...
Imewekwa Tarehe: December 30th, 2020
Mkuu wa wilaya ya Rungwe Mhe. Julius Chalya (kulia) akitoa maelezo ya chanzo cha maji (Intake) Masomo group kichopo katika mto Mbaka mbele ya Naibu Waziri wizara ya MAJI Mhe. Marypris...