Imewekwa Tarehe: August 3rd, 2022
Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe imeendelea kugawa vyandarua kwa wanafunzi wote ambapo imetajwa kuwa hatua hiyo itaenda kupunguza Kasi ya ugonjwa wa maralia kwa wanafunzi na jamii kwa ujumla....
Imewekwa Tarehe: August 2nd, 2022
Mkuu wa Wilaya ya Rungwe Mhe. Dk. Vicent Anney amezuru viwanja vya Nanenane Leo alasiri katika banda la Rungwe na kujionea shughuli za uzalishaji wa zao mahindi ( DEKALD) ambapo ameagiza mbegu h...