Imewekwa Tarehe: January 3rd, 2020
Menejimenti ya Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe imeanza maandalizi ya kwa kupitia na kujadili rasimu ya mpango na bajeti ya Halmashauri kwa mwaka wa fedha 2020/2021.
Aidha katika kikao hicho cha kuj...
Imewekwa Tarehe: September 20th, 2019
Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe ni miongoni mwa Halmashauri katika Mkoa wa Mbeya zilizoidhinishiwa kiasi cha fedha 1000,000,000.00 kutoka Serikali ikiwa ni ruzuku ya ukarabati wa vituo vya afya ...
Imewekwa Tarehe: September 11th, 2019
Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe ilipokea Mwenge wa Uhuru tarehe 07/09/2019 na kukabidhi kwa Halmashauri ya Jiji la Mbeya tarehe 8/09/2019. Mwenge wa Uhuru ulikagua, kuzindua na kuweka mawe ya msingi k...