• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Rungwe District Council
Rungwe District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa naSerikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Uchumi na Takwimu
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, U mwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Usafishaji na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Tehama na Mahusiano
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Utunzaji Nyuki
  • Uwekezaji
    • Uzalishaji wa Maziwa
    • Kiwanda Cha Matunda
    • Vivutio vya Uwekezaji
  • Huduma
    • Maji
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Ardhi na Maliasili
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba
      • Mikutano ya Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu za Maombi
    • Katiba Pendekezwa
    • Mihutasari
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
    • Matukio
    • Habari
    • Makala

MWENGE WA UHURU WAKIMBIZWA WILAYANI RUNGWE

Imewekwa Tarehe: August 27th, 2024

Mwenge wa uhuru leo tarehe 27.8.2024 ukiwa katika kituo cha afya Kiwira umeshuhudia namna kilivyojengwa kwa viwango stahiki huku  mkimbiza Mwenge kitaifa Bwana Godfrey Mnzava akigawa vyandarua kwa wajawazito ili kujikinga na  homa maralia inayoweza kudhorotesha afya ya mama na mtoto.


Kituo kimejengwa kwa zaidi ya shilingi millioni 500 fedha iliyotolewa na na serikali ya jamuhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.


Ikumbukwe kuwa Mhe Rais alipofanya ziara katika wilaya ya Rungwe Agost 2022 alitoa msaada wa shilingi millioni 10 kwa ajili ya ujenzi wa kituo hiki.


Mapema mwaka huu 2024 serikali yake imetoa tena kiasi cha shilingi millioni 500 kwa ajili ya ujenzi wa kituo hiki.


Aidha Halmashauri ya Rungwe kwa kutumia mapato yake ya ndani imetoa kiasi cha shilingi millioni 10 kwa ajili ya kuunga juhudi za Mhe.Rais pamoja na wananchi katika kuwaletea maendeleo wananchi.


Matangazo

  • MAPOKEZI YA FEDHA KWA AJILI YA UTEKELEZAJI MIRADI YA MAENDELEO September 14, 2025
  • MWALIKO WA ZABUNI UJENZI NA UENDESHAJI MADUKA KIWIRA October 01, 2025
  • MWALIKO WA ZABUNI KUPANGA NA KUENDESHA KITUO CHA MAFUTA October 01, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA October 04, 2022
  • Onesha Vyote

Habari Mpya

  • WIKI YA ELIMU YA WATU WAZIMA

    September 03, 2025
  • WIKI YA ELIMU WILAYANI RUNGWE

    September 02, 2025
  • WATUMISHI KITUO CHA AFYA KYIMO WAPONGEZWA

    August 29, 2025
  • HOTUBA YA RAIS DIRA YA TAIFA 2025/50

    July 17, 2025
  • Onesha Vyote

Video

Vivutio vya Utalii
Picha Mjongeo Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
  • TAMISEMI

Vinganishi Linganifu

  • OR TAMISEMI
  • Wizara ya Elimu na Ufundi
  • Sekretarieti ya Ajira Utumishi wa Umma

Kipimo cha Wateja Duniani

world map hits counter

Wateja Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tukuyu Mjini-Mkabala na Benki ya NMB

    Sanduku la Posta: Box 148

    Simu: 025 255 2586

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: ded@rungwedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Huruhusiwi
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki Miliki ©2021 GWF. Haki Zimehifadhiwa