Imewekwa Tarehe: July 30th, 2021
Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Rungwe Mhe. Mpokigwa Mwankuga ameagiza wazazi/ walezi kuendelea kuchangia chakula shuleni kikiwa katika hali ya ubichi/ kisichopikwa ikiwa ni jitihada ya kupungu...
Imewekwa Tarehe: July 16th, 2021
Kufuatia Serikali kufanya ukarabati mkubwa katika shule ya sekondari wavulana Rungwe (million 752), Jengo moja limetengwa kwa ajili ya zahanati ambapo linatarajiwa kuhudumia zaidi ya...
Imewekwa Tarehe: July 8th, 2021
Shule ya sekondari Kisondela imefuzu ujenzi wa vyumba vitatu vya madarasa na matundu 14 ya vyoo .
Shule hii yenye jumla ya wanafunzi 659 na walimu 30 inatarajiwa kuongeza ki...