Imewekwa Tarehe: August 23rd, 2022
Zoezi la Sensa ya Watu na makazi limeanza vizuri leo jumanne tarehe 23.8.2022 katika kata zote 29 huku Mkuu wa Wilaya ya Rungwe Mhe. Dkt. Vicent Anney akihesabiwa katika makazi yake na kutoa taa...
Imewekwa Tarehe: August 21st, 2022
VIKUNDI VINAVYOJIZOLEA MAPATO YA NDANI YA HALMASHAURI.
Kupitia mikopo ya vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu, Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe imetoa mkopo usio na riba...
Imewekwa Tarehe: August 20th, 2022
MHE. HOMERA AFANYA ZIARA KIJIJI CHA LUFUMBI
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Juma Homera amefanya ziara Leo alasiri tarehe 20 .08.2022 katika Kijiji Cha Lufumbi kata ya Masoko.
Akihutubia uma...