Imewekwa Tarehe: July 1st, 2020
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya wilaya ya Rungwe bibi Loema Peter amekutana na viongozi wa soko la Kiwira na kutatua kero mbalimbali za soko hilo.
Aidha bibi Loema amewaomba viongozi hao k...
Imewekwa Tarehe: June 26th, 2020
Kiwanda cha Maji Tukuyu kimezinduliwa leo mapema na Waziri wa uwekezaji Mhe. Angela Kairuki katika kijiji cha Kibisi kata ya Kyimo wilayani Rungwe.Akizundua kiwanda hicho kinachomilikiwa na kampuni ya...
Imewekwa Tarehe: June 16th, 2020
Timu ya maafisa habari kutoka idara ya Habari Maelezo makao makuu imetembelea kiwanda cha matunda ya parachichi cha Rungwe avocado company na kubaini kuwa kiwanda hicho kimeongeza wigo wa ajira...