Imewekwa Tarehe: May 17th, 2021
Kamati ya Lishe ya Halmashuri ya Wilaya ya Rungwe, imekaa kikao hii leo kujadili utekelezaji wa shughuli za lishe Wilayani Rungwe.
Akiongoza kikao hicho Kaimu Mkurugenzi wa Wilaya ya Rungwe Bw. Cas...
Imewekwa Tarehe: April 21st, 2021
Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Rungwe Mhe. Mpokigwa Mwankuga amekagua ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa katika shule ya msingi kapugi kata ya Malindo ambapo pamoja na mambo mengine ameagiza...
Imewekwa Tarehe: March 31st, 2021
Jumla ya vikundi 32 vya Wanawake, vijana na Watu wenye Ulemavu vimenufaika leo tarehe 31.03.2021 na mkopo wa shilingi million 250 kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe ikiwa ni asilimia 10% ya mapato...