Imewekwa Tarehe: February 3rd, 2021
Kamati ya siasa Mkoa wa Mbeya imeupa heko mradi wa MAJI Masoko group uliopo Kata ya Itagata Kwa kuendelea kuzinufaisha Kata tano ambazo katika ubora wa hali ya juu zinaendelea kupata maji safi na...
Imewekwa Tarehe: February 2nd, 2021
Katika Msimu wa 2021/22 halmashauri ya wilaya ya Rungwe inatarajia kupanda miche ya kahawa zaidi ya million 2.4 huku miche 163,000 ikitolewa na taasisi ya utafiti wa kahawa- TACRI. Miche hii itas...
Imewekwa Tarehe: January 29th, 2021
Miche ya miti ipatayo 800 imepandwa katika chanzo cha maji Mabonde kata ya Msasani Tukuyu mjini ikiwa ni juhudi ya kuhakikisha uoto wa asili unaboreshwa na kuchochea upatikanaji wa maji Msimu wo...