• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Rungwe District Council
Rungwe District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa naSerikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Uchumi na Takwimu
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, U mwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Usafishaji na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Tehama na Mahusiano
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Utunzaji Nyuki
  • Uwekezaji
    • Uzalishaji wa Maziwa
    • Kiwanda Cha Matunda
    • Vivutio vya Uwekezaji
  • Huduma
    • Maji
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Ardhi na Maliasili
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba
      • Mikutano ya Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu za Maombi
    • Katiba Pendekezwa
    • Mihutasari
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
    • Matukio
    • Habari
    • Makala

KARIBU RUNGWE USIKOSE KUFIKA ZIWA KISIBA

Imewekwa Tarehe: July 13th, 2022

Kufuatia Halmsahauri ya Wilaya ya Rungwe kuboresha mazingira mazuri ya uwekezaji, munekano wa ziwa Kisiba umeanza kuvutia na hivyo kuwa eneo pekee lenye mvuto zaidi katika mikoa ya nyanda za juu kusini.

Ziwa hili linalotokana na mlipuko Volkano  lipo takribani Km 17 kutoka Tukuyu mjini Barabara ya Masoko-Busokelo na lina kipenyo cha zaidi ya mita 270.

Uwekezaji uliofanywa katika fukwe za ziwa hili (KISIBA CAMPSITE)  umeongeza upatikanaji wa huduma ya  chakula, malazi, vinywaji, uwanja wa mpira, kuogelea, eneo maalumu kwa ajili ya sherehe kama harusi, na mikusanyiko ya aina mbalimbali.

Ziwa hili lina samaki pamoja na msitu mnene unaozunguka eneo hili na hivyo kumpa mtalii ya kupata upepo mzuri huku akijivinjari katika uoto wa asili sambamba na kujipatia  matunda  yanayopatikana katika eneo la msitu huu.

Kando ya msitu huu kuna majengo ya kale zaidi yaliyojengwa na enzi za ukoloni wa kijerumani ambayo ilikuwa ngome kuu kabla ya kuhamia Tukuyu mjini.

Aidha kuna Msikiti wa kale zaidi wilayani Rungwe ambao ndiyo chimbuko la misikiti yote wilayani Rungwe na mkoa wa Mbeya kwa ujumla.

Pamoja ha hayo chifu wa kale (Mwakatumbula) na wa Kwanza kumiliki gari katika mkoa wa Mbeya, kupewa nishani ya utawala bora na Malikia Elizabeth anapatikana katika eneo hili katika kitongoji cha Landani ambapo baada ya malikia kuvutiwa na utawala wake eneo la makazi ya chifu llipewa jina linalowakilisha  mji mkuu wa nchi ya Uingereza- London.

Makazi ya chifu pamoja na kaburi lake lipo mpaka leo pamoja na  zana mbalimbali alizokuwa akizitumia enzi za utawala wake.

Vivuto vingine karibu na ziwa hili ni pamoja na Maporomoko ya maji Isabula, Mwandambo, Busilya, Maji moto Isesero na Mti katembo.










































Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOITWA KWENYE SEMINA NAFASI YA WAANDISHI WASAIDIZI NA BVR December 19, 2024
  • ORODHA YA MAJINA YA AKIBA NAFASI YA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI December 19, 2024
  • TANGAZO BARAZA LA MADIWANI April 27, 2021
  • TANGAZO LA AJIRA ZA MKATABA June 10, 2021
  • Onesha Vyote

Habari Mpya

  • FURSA YA UTALII RUNGWE

    June 07, 2025
  • ELIMU YA UTUNZAJI VYANZO VYA MAJI YAHAMIA KIWIRA

    May 31, 2025
  • UTEKELEZAJI WA ILANI WAWASILISHWA

    May 30, 2025
  • KAMATI YA ULINZI NA USALAMA YAKAGUA MIRADI

    May 30, 2025
  • Onesha Vyote

Video

Vivutio vya Utalii
Picha Mjongeo Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
  • TAMISEMI

Vinganishi Linganifu

  • OR TAMISEMI
  • Wizara ya Elimu na Ufundi
  • Sekretarieti ya Ajira Utumishi wa Umma

Kipimo cha Wateja Duniani

world map hits counter

Wateja Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tukuyu Mjini-Mkabala na Benki ya NMB

    Sanduku la Posta: Box 148

    Simu: 025 255 2586

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: ded@rungwedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Huruhusiwi
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki Miliki ©2021 GWF. Haki Zimehifadhiwa