• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Rungwe District Council
Rungwe District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa naSerikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Uchumi na Takwimu
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, U mwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Usafishaji na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Tehama na Mahusiano
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Utunzaji Nyuki
  • Uwekezaji
    • Uzalishaji wa Maziwa
    • Kiwanda Cha Matunda
    • Vivutio vya Uwekezaji
  • Huduma
    • Maji
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Ardhi na Maliasili
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba
      • Mikutano ya Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu za Maombi
    • Katiba Pendekezwa
    • Mihutasari
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
    • Matukio
    • Habari
    • Makala

Fedha

MAJUKUMU YA KITENGO CHA UHASIBU WA FEDHA

  1. Kuthibiti na kusimamia matumizi bora ya wizara
  2. Kukusanya na kusimamia mapato kwa mujibu wa kanuni na miongozo ya serikali.
  3. Kutayarisha hesabu za mwaka (annual final accounts)
  4. Kuandaa malipo ya mishahara kwa wakati
  5. Kuandaa na kuwasilisha orodha ya hati za malipo hazina
  6. Kutayarisha bajeti ya kitengo
  7. Kuchukua hundi za malipo kutoka hazina kwa ajili ya kulipa wateja
  8. Kutoa huduma za kifedha na hifadhi ya vitabu vya kumbukumbu  za fedha.
  9. Kuandaa kwa wakati taarifa za kifedha za malipo ya pensheni kwa watumishi waliostaafu
  10. MAPATO YA  HALMASHAURI

    Mchango wa Halmashauri katika kugharamia utoaji huduma za kiuchumi na kijamii na mwelekeo wa kujitegemea  bado uko chini sana. Mapato ya Halmashauri kwa kipindi cha mwaka 2015/2016 ni kama inavyoonyeshwa katika jedwali lifuatalo hapa chini:-

    Jedwali Na. 9: Mapato Halisi ya Halmashauri (Tshs)

    NA

    CHANZO CHA MAPATO

    MAKISIO 2015/2016

    MAPATO HALISI JULAI– JUNI, 2016

    %

    1

    Mapato ya ndani

    2,504,414,572.10

    1,299,297,806.71

    52

    2

    Matumizi Mengineyo

    2,678,199,900.00

    1,324,073,408.39

    49

    3

    Mishahara

    36,082,249,000.00

    35,261,880,735.00

    98

    4

    Miradi ya Maendeleo

    9,895,193,174.31

    4,895,014,343.68

    49

    5

    Michango ya wananchi

    450,000,000.00

    484,577,827.58

    108

     

    Jumla Kuu

    51,610,056,646.41

    43,264,844,121.36

    84

    Chanzo: Idara ya Fedha ya Halmashauri, 2016

     

    6.1. Mikakati ya Uboreshaji Ukusanyaji Mapato ya Halmashauri

    Kubuni vianzia vipya vya mapato katika Halmashauri sanjari na mchakato wa kupata sheria ndogo.

    Kwa sasa vianzia vipya vilivyokwishabuniwa ni pamoja na:-

    Ushuru wa Maziwa

    Ushuru wa Samaki

    Ushuru na Ada katika vyanzo vya Utalii

    Ushuru wa Minara ya simu n.k.

    Ada ya taka ngumu

    Kupitia upya sheria ndogo za ukusanyaji mapato sanjali na ubadilishaji viwango Sheria zinazotumika sasa ni za mwaka 2012 ,  viwango vya ushuru vipo chini.

    Kuwaendeleza watumishi wa Idara ya fedha.

    Kufanya tathmini ya vyanzo vyote vya mapato ili kujua kiwango halisi kinachoweza kukusanywa na mbinu sahihi za kuweza kukusanya ushuru.

    Kutoa elimu kwa walipa kodi, ushuru na ada mbalimbali juu ya umuhimu wa ulipaji ushuru huo kwa hiari.

    Kushirikiana na wadau mbalimbali na taasisi za Serikali kama mahakama, polisi na TRA katika kufanikisha kukusanya mapato.

    Kuhamasisha wakulima wa mazao mbalimbali kwa kutumia Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika waongeze uzalishaji wa mazao yaliyo bora na kuwatafutia masoko ya ndani na nje ya Wilaya.

    Kupitia upya mikataba mbalimbali hususani ya upangishaji nyumba za Halmashauri na vibanda vya biashara ili iwe yenye kuiletea Halmashauri mapato zaidi na kuboresha nyumba hizo.


Matangazo

  • MAPOKEZI YA FEDHA KWA AJILI YA UTEKELEZAJI MIRADI YA MAENDELEO September 14, 2025
  • MWALIKO WA ZABUNI UJENZI NA UENDESHAJI MADUKA KIWIRA October 01, 2025
  • MWALIKO WA ZABUNI KUPANGA NA KUENDESHA KITUO CHA MAFUTA October 01, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA October 04, 2022
  • Onesha Vyote

Habari Mpya

  • WIKI YA ELIMU YA WATU WAZIMA

    September 03, 2025
  • WIKI YA ELIMU WILAYANI RUNGWE

    September 02, 2025
  • WATUMISHI KITUO CHA AFYA KYIMO WAPONGEZWA

    August 29, 2025
  • HOTUBA YA RAIS DIRA YA TAIFA 2025/50

    July 17, 2025
  • Onesha Vyote

Video

Vivutio vya Utalii
Picha Mjongeo Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
  • TAMISEMI

Vinganishi Linganifu

  • OR TAMISEMI
  • Wizara ya Elimu na Ufundi
  • Sekretarieti ya Ajira Utumishi wa Umma

Kipimo cha Wateja Duniani

world map hits counter

Wateja Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tukuyu Mjini-Mkabala na Benki ya NMB

    Sanduku la Posta: Box 148

    Simu: 025 255 2586

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: ded@rungwedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Huruhusiwi
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki Miliki ©2021 GWF. Haki Zimehifadhiwa