Mradi huu wa ujenzi wa hostel yenye uwezo wa kulaza wanafunzi 48 na ujenzi wa jengo la choo chenye matundu 4 ya vyoo, bafu 4 na sehemu ya kufulia (laundry) umefadhiliwa na Ubalozi wa Japan Nchini Tanzania.
Mradi huu ulianza tarehe 22/06/2018 na utamalizika tarehe 19/12/2018
Gharama ya mradi ni tsh,128,220,000.00
Fedha iliyotumika tsh.48,286,800.00
Fedha iliyotolewa na mfadhili tsh.135,341,955.00
Fedha ambayo haijapangiwa matumizi ni tsh.7,121,955.00
2.0 MUDA WA KUTEKELEZA MRADI
KAZI ZITAKAZOFANYIKA:-
NA |
KAZI ZITAKAZOFANYIKA |
GHARAMA |
UTEKELEZAJI |
FEDHA ILIYOTUMIKA |
1 |
KULETA VIFAA NA KUVIRUDISHA, MAJI YA KUFANYIA KAZI, UBAO WA KUTAMBULISHA MRADI (PRELIMINARY AND GENERAL COST)
|
2,350,000.00 |
70% |
1,750,000.00 |
2 |
KUSETI JENGO NA KUCHIMBA MSINGI, KUJENGA MSINGI, KUPANGA HARDCORE NA KUMIMINA ZEGE (SUBUSTRUCTURE)
|
14,395,000.00 |
100% |
13,995,000.00 |
3 |
KUJENGA KUTA NA ‘’RING BEAM’’
|
16,198,000.00 |
90% |
14,798,000.00 |
4 |
KUFITISHA FREMU NA MILANGO (DOORS COMPONET)
|
8,834,000.00 |
10% |
- |
5 |
KUFITISHA FREMU NA MADIRISHA (WINDOWS COMPONET)
|
4,600,000.00 |
0% |
- |
6 |
KUPAUA PAA (ROOF COMPONET)
|
11,878,000.00 |
50% |
- |
7 |
KUCHAPIA LIPU NJE NA NDANI (FINISHING WORK)
|
11,090,000.00 |
50% |
- |
8 |
UPAMBAJI RANGI (DECORATION WORKS)
|
3,850,000.00 |
0% |
- |
9 |
UMEME (ELECTRICAL WORKS)
|
3,011,000.00 |
0% |
- |
11 |
VITANDA 24 (FURNITURE WORKS DOUBLE DECKER)
|
9,120,000.00 |
0% |
- |
12 |
UJENZI WA CHOO CHA MATUNDU MANNE NA MABAFU MANNE (ABLUTION FACILITIES)
|
30,185,000.00 |
45% |
12,944,000.00
|
14 |
UJENZI WA MFUMO WA MAJI TAKA (SEPTIC TANK
|
8,929,000.00 |
90% |
8,140,000.00
|
15 |
UNUNUZI WA TENKI LITA 5000LTR NA GUTA (WATER TANK AND RAIN GUTTER)
|
1,980,000.00 |
0% |
- |
16 |
KAZI NYINGINE NDOGONDOGO (OTHER WORKS)
|
1,800,000.00 |
0% |
- |
NB: Kazi za utengenezaji wa milango madirisha na vitanda unaendelea
3.0 HALI HALISI YA MRADI
Hadi kufikia 02/10/2018 Ujenzi wa bweni na choo chake wanafunzi umefikia usawa kupauwa ambayo ni sawa na 53% kwa ujumla wake.
4.0 UBORESHAJI WA MIUNDOMBINU
Tukuyu Mjini-Mkabala na Benki ya NMB
Sanduku la Posta: Box 148
Simu: 025 255 2586
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: ded@rungwedc.go.tz
Haki Miliki ©2021 GWF. Haki Zimehifadhiwa