Timu ya Mapato imeendelea na utoaji elimu pamoja na ufuatiliaji wa mapato katika kona mbalimbali za @halmashauri_ya_rungwe__mbeya
Timu ikiwa katika kijiji cha Kibatata kata ya Kisondela imeshuhudia zoezi la uvunaji wa matunda ya parachichi huku wanunuzi wakisisitizwa kutoa rist kwa wakulima sambamba na kulipa ushuru halali wa Serikali #ukitoadairisti #ukinunuadairisiti
Tukuyu Mjini-Mkabala na Benki ya NMB
Sanduku la Posta: Box 148
Simu: 025 255 2586
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: ded@rungwedc.go.tz
Haki Miliki ©2021 GWF. Haki Zimehifadhiwa