• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Rungwe District Council
Rungwe District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa naSerikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Uchumi na Takwimu
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, U mwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Usafishaji na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Tehama na Mahusiano
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Utunzaji Nyuki
  • Uwekezaji
    • Uzalishaji wa Maziwa
    • Kiwanda Cha Matunda
    • Vivutio vya Uwekezaji
  • Huduma
    • Maji
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Ardhi na Maliasili
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba
      • Mikutano ya Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu za Maombi
    • Katiba Pendekezwa
    • Mihutasari
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
    • Matukio
    • Habari
    • Makala

POCHI YA MAMA YATUA KISONDELA

Imewekwa Tarehe: February 8th, 2026

Serikali inayoongozwa na Rais Dkt @samia_suluhu_hassan ndani ya siku 100 ya utekelezaji wa ahadi zake kwa Wananchi, Imetoa kiasi cha Shulingi Million 659 kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha afya katika kata ya Kisondela


Kwa Sasa wananchi wameendelea kupata huduma ya matibabu katika zahanati ya Makete/Kisa ambayo miundombinu yake imeanza kuchakaa


Zahanati hii ilijengwa kabla ya Uhuru na Kilikuwa kituo maalumu kwa ajili ya matibabu ya wagonjwa wa UKOMA kabla ya kufungwa rasmi mwaka 1999


Kituo hiki kilitumika kutoa matibabu kwa wagonjwa kutoka Afrika Mashariki kati na kusini mwa Afrika.


Sasa wakazi wa kata hii wameanza kutoa tabasamu baada ya serikali kutoa kiasi hicho kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha afya kitakachokuwa na jengo la MAMA na MTOTO, OPD,  pamoja na MAABARA KICHOMEA TAKA


Matangazo

  • MWALIKO WA ZABUNI UJENZI NA UENDESHAJI MADUKA KIWIRA October 01, 2025
  • KUITWA KWENYE MAFUNZO WATENDAJI KITUO CHA KUPIGIA KURA October 24, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI ROBO YA TATU 2025/26 February 08, 2026
  • TANGAZO KWA UMMA DHIDI YA MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI ROBO YA TATU 2025/26 February 08, 2026
  • Onesha Vyote

Habari Mpya

  • POCHI YA MAMA YATUA KISONDELA

    February 08, 2026
  • WATUMISHI WAUKARIBISHA MWAKA MPYA

    January 16, 2026
  • TIMU YA MAPATO YATOA ELIMU VIJIJINI

    January 14, 2026
  • WAFUGAJI WAPATIWA ELIMU

    January 10, 2026
  • Onesha Vyote

Video

Vivutio vya Utalii
Picha Mjongeo Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
  • TAMISEMI

Vinganishi Linganifu

  • OR TAMISEMI
  • Wizara ya Elimu na Ufundi
  • Sekretarieti ya Ajira Utumishi wa Umma

Kipimo cha Wateja Duniani

world map hits counter

Wateja Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tukuyu Mjini-Mkabala na Benki ya NMB

    Sanduku la Posta: Box 148

    Simu: 025 255 2586

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: ded@rungwedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Huruhusiwi
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki Miliki ©2021 GWF. Haki Zimehifadhiwa