MKUU WA MKOA MBEYA AMOSI MAKALLA ALITEMBELEA WILAYA YA RUNGWE NA KUPOKEA VIFAA TIBA VILIVYOTOLEWA KWAAJILI YA HOSPITALI YA WILAYA YA RUNGWE (MAKANDANA).
VIFAA HIVYO VYENYE THAMANI YA TSH 15,000,000/= VILITOLEWA NA KAMPUNI YA ASAS LTD.
BAADA YA KUPOKEA VIFAA HIVYO NA KUKABIDHI KWA MGANGA MKUU WA HALMASHAURI YA WILAYA YA RUNGWE DK MARCO MBATA,ALITEMBELEA WODI YA WAZAZI.
PIA ALITEMBELEA KITUO CHA AFYA IKUTI KINACHO JENGWA NA KUFANYIWA UKARABATI KWA KUTUMIA "FORCE ACCOUNT".
BAADHI YA MAJENGO YANAYOENDELEA KUKARABATIWA NA KUJENGWA KATIKA KITUO CHA AFYA IKUTI.
HIZO NI NYUMBA ZA WATUMISHI ZILIZOJENGWA KATIKA KITUO HICHO.
Tukuyu Mjini-Mkabala na Benki ya NMB
Sanduku la Posta: Box 148
Simu: 025 255 2586
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: ded@rungwedc.go.tz
Haki Miliki ©2021 GWF. Haki Zimehifadhiwa