Maoni dhidi ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 imeingia hatua nyingine ambapo hatua hii imewakutanisha wakazi wa Mikoa ya Nyanda za juu Kusini katika ukumbi wa Eden Highland Forest jijini Mbeya.
Mgeni rasmi amekuwa ni Mhe.Tulia Akson Spika wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania.
Wageni wengine ni pamoja Waziri wa Mipango Mhe Kitila Mkumbo, Wakuu wa mikoa yote na Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi kutoka Nyanda za Juu Kusini.
Mikoa iliyoshiriki ni pamoja na Mbeya, Njombe, Iringa na Songwe.
Wananchi wametoa maoni mbalimbali ikiwemo matumizi bora ya ardhi, Utawala bora, Elimu, Afya, Madini, Kilimo na mengine mengi.
Maoni yote yamechukuliwa na timu maalum kutoka Tume ya Mipango kwa hatua nyingine ya ukusanyaji maoni, uchakataji na hatimaye Dira bora ya Maendeleo 2050 kwa faida ya kizazi hiki na kijacho.
@maelezonews
@maelezozanzibar
@official_mipango_mirror_tv
@ikulu_mawasiliano
@ortamisemi
@highlandsfm_tanzania @renatus_blas @jiji_la_dsm
@kyelafmradio
@mwananchi_official
Tukuyu Mjini-Mkabala na Benki ya NMB
Sanduku la Posta: Box 148
Simu: 025 255 2586
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: ded@rungwedc.go.tz
Haki Miliki ©2021 GWF. Haki Zimehifadhiwa