Wananchi pamoja na watumishi mbalimbali katika wilaya ya Rungwe wameshiriki zoezi la kuongeza uchangamshi wa mwili kwa kufanya mazoezi mbalimbali katika uwanja wa Mpira Tukuyu Mjini.
Hili ni takwa la Serikali kuhakikisha kila mwananchi anashiriki mazoezi pamoja na usafi wa mazingira ikilenga kuboresha afya ya mwili na kutokomeza magonjwa ya mlipuko katika kaya zetu.
Tukuyu Mjini-Mkabala na Benki ya NMB
Sanduku la Posta: Box 148
Simu: 025 255 2586
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: ded@rungwedc.go.tz
Haki Miliki ©2021 GWF. Haki Zimehifadhiwa